Appointment of the Acting Director of Postgraduate Studies

This is to inform the University Community that, the Vice Chancellor has appointed Dr. Emmanuel Balandya who is from the Department of Physiology, to be the Acting Director of Postgraduate Studies.

Dr. Balandya is currently the Deputy Director of Postgraduate Studies and will be occupying the office of the Director of Postgraduate Studies from the outgoing incumbent Prof. Andrew Pembe.

On behalf of the University Community we wish to sincerely congratulate Dr. E. Balandya for his appointment.


Issued by:

The Office of Information, Communication and Public Relations.
7th September, 2017Uteuzi wa Makamu Mkurugenzi - Mafunzoya Uzamili na Uzamivu


Napenda kuwapa taarifa kuwa, Makamu Mkuu wa Chuo amemteua Dkt. Emmanuel Balandya kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo ya Uzamili na Uzamivu.

Dkt. Balandya ambaye kwa sasa alikuwa ni Naibu Mkurugenzi wa Mafunzo ya Uzamili na Uzamifu anachukuwa nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mafunzi wa Uzamili na Uzamivu Prof. A. Pembe ambaye amepewa majukumu mengine.

Kwa niaba ya Jumuia ya MUHAS tunapenda kutoa pongezi zetu za dhati kwa Dkt. E. Balandya kwa uteuzi huu.

Imetolewa na:

Ofisi ya Habari na Mawasiliano ya Umma, MUHAS
Septemba 7, 2017.
Loading ...
Orgy