MUHAS WAUNGANA NA WANAWAKE DUNIANI KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Makamu Mkuu wa Chuo na Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Mipango, Fedha na Utawala wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanawake wa MUHAS katika sherehe za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani