RAIS WA ZANZIBAR APONGEZA MUHAS KWA KAZI NZURI KATIKA TAFITI NA MACHAPISHO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Viongozi wa MUHAS na familia ya Amne Salim