WAZIRI WA ELIMU AZINDUA KAMATI YA USHAURI WA VIWANDA MUHAS
Wajumbe wa Kamati ya Ushauri wa Viwanda ya MUHAS kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi na meza kuu mara baada ya Kamati hiyo kuzinduliwa
Matukio katika Picha: Wananchi wakijione bunifu mbalimbali zilizofanywa na wataalamu kutoka MUHAS kwenye Maonesho ya Wiki ya Ubunifu katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Chuo Kikuu cha Afya na Sayanshi Shirikishi., Muhimbili washiriki Maonesho ya Wiki ya Ubunifu Kitaifa yalioandaliwa na…
Matukio katika picha wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge Elimu, Utamadunu na Michezo iliyoongozwa na Mwenyeki Prof. Kitulo Mkumbo ilipotembelea Kituo cha Umahiri cha Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu kilichopo Kampasi ya Mloganzila. Wabunge wa kamati ya kudumu…