MUHAS Sports Club Matukio katika Picha

MUHAS Sport Club yazidi kulipaisha jina la MUHAS kwa kufanya vizuri na kutwaa vikombe sita kwenye mashindano ya mashirika ya umma taasisi na makampuni binafsi (SHIMMUTA-2017) yaliyofanyika mjini Iringa na kushirikisha timu toka taasisi na makampuni binafsi ishirini na tatu (23) za hapa Tanzania. 


Loading ...