Tangazo La Kozi Ya Muda Mfupi Ya Ngazi Ya Pili Ya Uendelezaji Dawa Za Asili

Taasisi ya Tiba Asili (ITM) ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili inawatangazia mafunzo ya ngazi ya Pili ya Uendelezaji wa dawa za asili. Mafunzo yatakuwa ya siku 5 na yataanza tarehe 02 mpaka 06 Aprili, 2018. Maombi ya kushiriki mafunzo yatapokelewa kuanzia tarehe 15 Januari mpaka 31 Machi, 2018. Pakua Fomu za maombi na kipeperushi  na pia unaweza kuzipata katika ofisi za Taasisi ya Tiba Asili Muhimbili.

Application for Postgraduate Degree Programmes for Academic Year 2018/2019

Applications are invited from the public for postgraduate degree studies at the Muhimbili University of Health and Allied Sciences. For more information and application procedures, Please Click Here. Applicants for Postgraduate Programs are required to apply online. Click here to apply
Deadline for submitting applications is Saturday 31st March, 2018    

Loading ...